Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kwa hivyo kwa mujibu wa madai yako hiyo likizo munayochukua kwa sababu ya majukumu huwa hamutumii huduma ya internet?
au kuna mbadala wa forum nyenginezo munazokuwa munazitembelea?
Nikiongelea kwa upande wangu mishe zenyewe nafanya achilia mbali kutumia internet yani ata kupokea simu au kujibu text nakua nashindwa kabisa mana naona vinanichelewesha.....

Japo kuna wengine wanapotea kwakukosa internet pia hao wazee wa chimbo
 
Hahah! Hapo nimekupata sanaaa bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…