Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Noma sana unaambiwaAliyepiga picha hiyo aje achukue zawadi
Utayaona ya Firauni
wasemavyo wadau wa JF:
Kwa wale wote wenye tabia za kutapika kwenye magari/mabasi mtambue kwamba mifuko ya plastic/ rambo imepigwa marufuku. Jaribuni kuji control.
Hapa kuna vituko mkuu, ila uzuri ni kwamba wale wanaojigongea likes kwa mafyekero yao wanajulikana kwa majinaHahah! Hapo nimekupata sanaaa bro
Duuh! Hii inasababishwa na kutafuta faraja ya moyo tuHapa kuna vituko mkuu, ila uzuri ni kwamba wale wanaojigongea likes kwa mafyekero yao wanajulikana kwa majina
Duuh! Hii inasababishwa na kutafuta faraja ya moyo tu
[emoji1][emoji1]
BeautifulLake Manyara View attachment 1105053
Ni kama hajajua kama anatapeliwa.Kisheria anaweza akapata haki yake.
Imeshamgarimu Kuna mda mahusiano inatakiwa uwe na roho ngumu kweli kweli ukisema uendeleze moyo unaumia kama huyo bibie.Ni kama hajajua kama anatapeliwa.
Jamaa anajificha kwenye kivuli cha mapenzi.
Hasipokuwa mjanja itamgarimu.