Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh
 
Hahaha eti fair play,humu hamna fair play. Tena siku hizi ni kijiwe cha maarifa zaidi kuliko kusaka likes. Zamani mambo yalikua moto moto hadi raha
Hahah! Wewe ni mtu mkubwa humu ndani nimeona page ya kwanza tu ulishatia timu mpaka leo unaendelea kutupokea wageni

Nambie kidogo zamani ilikua vipi humu au wadau walikua wengi sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…