Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
huu mtazamo utachukua karne moja kubadilika dada yangu, huku kwetu zenji ukubwa wa visiwa ni takribani km 2500 lakini mwanasiasa mpaka leo akisimama kwenye kampeni anazungumzia ishu ya maji, dawa, barabara ya lami.
ovyo kabisa
Afirka bado tuna utawala wa joseon(hope nimepatia spelling)high class ndio wanafaidi zaidi wakifatiwa na kipato cha kati. Wale kajamba nani watajijua wenyewe kwa lundo la kodi na tozo za kila aina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…