Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nimeikuta fb: sijafanya uhakiki wa taarifa

Bi Vicky Swai mwaka 1995 akimkabidhi Nelson Mandela viatu vyake alivyoviacha jijini Dar es salaam mwaka 1962 nyumbani kwa Nsilo Swai,viatu hivi aliviacha alipokuwa akielekea Ethiopia lakini wakati wa kurudi hakupitia tena DSM na alipofika nchini kwake alihumukumiwa kifungo cha maisha ambapo alikitumikia kwa miaka 27 mpaka 1990.

Kuna watu watunzaji bhana,Siyo wewe na mimi hatuna hata kumbukumbu ya madaftari tuliyoyasome

View attachment 1105344
Viatu ngozi original
 
nimecheka kwanza (nimeikuta fb na sijafanya uhakiki wowote wa taarifa)

Qajar pichani binti wa mfalme wa Uajemi alikuwa ndiye msichana mrembo kuliko wote maeneo ya Uajemi miaka ya 1900. Mamia ya wanaume waliomfuata aliwakataa na inasemekana wanaume 13 walijiua baada ya kukataliwa na Qajar.
View attachment 1105339
Wow
 
Kipi kikuchekeshacho?
 
Mbona kazuri tu just chubby.. kameshiba maanjumati ya royal palace..
Au ana miguu ya ndovu?
🥇 🥇 🥇
nimependa tumbo lake, amenikumbusha yule mwanamke aliyezaa watoto 6 kwa siku moja.
miguu yake minene ni dalili ya ujuba mwingi, si ajabu kukuta hao wanaume waliojiua walikuwa wanakutana na majibu ya ovyo kutoka kwake.

hebu jiangalie hivi kweli una shepu ya kutembea na baby face kama mimi?
mhhhhhhhh una kichwa kibaya kama mamba.
sasa na nyakati hizo kioo anamiliki mfalme peke yake, dah unaona bora uchukue hatua ya kujiua kwa kuambiwa kichwa chako kinafanana na mamba
1105363
 
Nakupenda/nakukubali fragaria
Asante/nashukuru fragaria
Tofauti Kabisa Yaani

Kwani dictionary inasemaje?
Lugha inatafsiriwa kutokana na mahali ilipotumika!
Mfano mtu anaweza akamsifia mtu lakini akasema " Aisee Smokey umetisha ! wewe ni nomaaaa"
Haimaanishi kuwa unatisha kweli kwa sura au vitendo.

So for the context ya jf like na thanks ni kitu kimoja
 
Ooh sawa, ila kutisha, we ni noma ni lugha ya mtaani zaidi, haipo officially
 
Back
Top Bottom