myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😀 😀 😀 😀Ndio ya kuwahi post ya million.saiv tupo post 952,447 ikifika 999000 mambo yakatua fayaaaa
😀 😀 😀 😀Ndio ya kuwahi post ya million.saiv tupo post 952,447 ikifika 999000 mambo yakatua fayaaaa
Wataratibu tupo wengi humuWewe mtaratibu sana
Aluta continue
Ni kweli, nimeona hiloWataratibu tupo wengi humu
AiseeNimesahau ila nakumbuka 500k ni mie nilipata hadi zawadi ya vocha toka kwa uniq, 800k na 900k mie
🙏 🙏Ni kweli, nimeona hilo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hahahahahaha na inaweza tokea hivyo. Kawaida wengi wanasubiriaga muda huo tu. Mfano huyu cocochannel jana kaja kasema anaisubiria hio chance kwa hamu na ana mbio sana na spidi ya kupost hata vinukta
Umeamkaje?
Huyo jamaa nyuzi zake za ajabu ajabu ajabu sana yani nyingi zinaanza na "Huyu demu"jamii forum wanapaswa kuweka kigezo cha umri kuanzia sasa, waweke sehemu ya kuscan picha ya cheti chako cha kuzaliwa kama unaomba mkopo bodi
jamaa ameanzisha thread anahitaji ushauri.
View attachment 1105257
Salama sana vipi wewe dear?Umeamkaje?
Siku imeanza vizuri, nashukuruSalama sana vipi wewe dear?
That good na leo nahisi utakua umepata chapati sio ugali kama janaSiku imeanza vizuri, nashukuru
Kama zali..Leo Ni mtori na chapati, hapa nipo vzr mno. 😀😀 Na wewe hujasahau tu?That good na leo nahisi utakua umepata chapati sio ugali kama jana
😀😀😀 hongera sana, siwezi kusahauKama zali..Leo Ni mtori na chapati, hapa nipo vzr mno. 😀😀 Na wewe hujasahau tu?