Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanasiasa wa Kirumi Gaius gracchus, kichwa chake kilihitajika kwa malipo ya dhahabu sawa na uzito wake. Hivyo atakayemuua na kupeleka kichwa chake angepewa dhahabu sawa na uzito wa kichwa hicho. Hata hivyo dhahabu hii haikulipwa kwa mtekaji kwa sababu alikijaza kichwa hicho madini ya risasi ili kiwe kizito zaidi.
Ubinadamu kazi [emoji23][emoji23]
 
Waonjaji wa ice cream za bei ghali hutumia vijiko vya dhahabu ili kuhakikisha hawachanganyi ladha kutoka ice cream moja hadi nyingine.
sijaelewa madame fyekero (nimepita thread ya madrid kuna mdau amedai una mafyekero 100 😛 😛 😛 😛 )
hivyo vijiko vya dhahabu vina sifa ya ulimi kama vina uwezo wa kujua ladha ya ice cream tofauti?
 
Reunion
images%20(19).jpeg
 
sijaelewa madame fyekero (nimepita thread ya madrid kuna mdau amedai una mafyekero 100 😛 😛 😛 😛 )
hivyo vijiko vya dhahabu vina sifa ya ulimi kama vina uwezo wa kujua ladha ya ice cream tofauti?
So unaamini mie ni nifah? Huu utani wa madame fekero sijaupenda maana hata ID ya numby ni fekero ujue
 
So unaamini mie ni nifah? Huu utani wa madame fekero sijaupenda maana hata ID ya numby ni fekero ujue
😛 😛 😛
jamaaa amechanganyikiwa na vipigo vya madrid msimu huu, itakuwa ana hasira si anafahamu upo timu CR7.
mimi mwenyewe nimecheka kwa sababu muandiko wenu haufanani kabisa, michango yako kwenye majukwaa hulingani na mwanadada yule kwa sababu upo huru zaidi.
ok naomba radhi.
 
Sauwa. Maana humu nikiikubali hii nickname mpya ntaibuliwa Mi ID ya ajabu ajabu kuprove huu ufekero

Kijiko cha dhahabu wanaamini hakidanganyi hasa kutokana na madini yaliyotumika kukitengenezea ni ghali sana.
 
Back
Top Bottom