Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
likes na thanks ni kitu kimojaUmeamkaje?
Ni vitu viwili tofautilikes na thanks ni kitu kimoja
Thanks...Ni vitu viwili tofauti
Nini kimekuchekesha😀, Ni mrembo. Nawatafakari hao waliojiuanimecheka kwanza (nimeikuta fb na sijafanya uhakiki wowote wa taarifa)
Qajar pichani binti wa mfalme wa Uajemi alikuwa ndiye msichana mrembo kuliko wote maeneo ya Uajemi miaka ya 1900. Mamia ya wanaume waliomfuata aliwakataa na inasemekana wanaume 13 walijiua baada ya kukataliwa na Qajar.
View attachment 1105339
🙁 🙁 nadhani kuna nguvu ya bwana mfalme ilikuwa inatumika kumfanya binti awe mrembo wa taifaNini kimekuchekesha😀, Ni mrembo. Nawatafakari hao waliojiua
🙁 🙁 nadhani kuna nguvu ya bwana mfalme ilikuwa inatumika kumfanya binti awe mrembo wa taifa
binti amekwenda na wakati tokea karne ya 19Nimependa outfit yake
Yupo vizuribinti amekwenda na wakati tokea karne ya 19
Oh Yeah[emoji120][emoji120]God did it AgainView attachment 1105324