Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Thank you,ila M nawaachia wengine ile presha ni kubwa mno kuiwaniaWacha we! Hongera! you deserve it..
Ya M pia utaipata tu!
Thank you,ila M nawaachia wengine ile presha ni kubwa mno kuiwaniaWacha we! Hongera! you deserve it..
Ya M pia utaipata tu!
Mwenzangu hio Iphone sijui hata inafananaje,huku nilipo mamantilie wenzangu woootee tuna vitecno vinakelele kama spika za kumchambia mtu uswahilini😁 Capitalpool itabidi aahidi I phone..
Hahahahahaha na inaweza tokea hivyo. Kawaida wengi wanasubiriaga muda huo tu. Mfano huyu cocochannel jana kaja kasema anaisubiria hio chance kwa hamu na ana mbio sana na spidi ya kupost hata vinukta
Nimesahau ila nakumbuka 500k ni mie nilipata hadi zawadi ya vocha toka kwa uniq, 800k na 900k mie