Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
TayariTayari..... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] andjul
Kwan una miaka 12 ww[emoji15] [emoji15]
Na test kesho tunaanzia tulipoishia...Nimekaa kit cha mbele nakuangalia na tumacho twako naelewa soma balaaaaa
Hamna cha kushangaa[emoji15] [emoji15]
Nikateni kichwa tu kisa kichwa kichafu.Kwa mfano Kati ya hawa ungemchagua yupi
Shimba ya buyenze
Andjul
Mzee wa liver
Me nimewaambia waache uchochezNikateni kichwa tu kisa kichwa kichafu.
Cc: carbamazepine
QUIGLEY mkuu ni mshindani wako wa kawaida and you know that. Hakuna la ajabu hapo...
Nimeona mama mchape likes tu akili zitamrudiMijibaba tunayoiongelea ndio hii sasa SHIMBA YA BUYENZE umeamini?
Cc:Kichwa Kichafu
andjul
Cole Williams
Me nna miaka 5 na roboKwan una miaka 12 ww
Hii avatar inaniachaga hoi
Game ngumu sana hiiNakupenda kivyovyote vile
[emoji102]And i was bored ndo mana nikaenda kutafuta sehem ya kutolea povu langu
Cc: carbamazepineAje tu nimpeleke kwa mama,mamaangu kasema anataka mkwilima mwenye kushika neno
Na wewe mkuu. Mtunze sister wangu please!Wakuu ahsanteni kwa siku ya leo, tumefurahi pamoja. Mungu atujaalie tuamke salama kabisa tukiwa na afya njema tuonane hapa tena kesho. Usiku mwema
Mambo si mambo CV yangu inachafuliwa kwa wageniKwema mkuu, mambo vipi