carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Naomba niwatakie
Ili upate sababu ya kuchepukaChagua tu
Namuona tu huyu SHIMBA YA BUYENZE we acha tu cole nipo
HahahahaMjibaba umepata boom unakuja kutamba nalo huku. Halafu siku makato ya kurudisha hiyo boom yakianza utasikia makelele kibao...
Wapenda totoz ndiyo tabia zao hizo. Wana wivu balaa na kujishtukia sana. Hawana amani. What a life!Mbona hujiamini hivyo lakini??
Ni kweli amalizie tu ni play part yangyMalizia tu
carbamazepineUna mashine????
Shimba shimbaNa huyo kwa neno ni kiboko. Alishusha mistari ya Wimbo Ulio Bora hapa juzi mpaka watu wakaingiwa na Roho Mtakatifu. Ng'ombe anazo lakini?
Mate nilijua tunakesha woteUsiku mwema,tukutane tena kesho panapo majaaliwa...mbarikiwe nyote....
Inabidi amalizie maana hamna namnaMalizia bhasi mtaje basi...
Lala salama Carpa. Mungu Akulinde malkia mwema!Usiku mwema,tukutane tena kesho panapo majaaliwa...mbarikiwe nyote....
UmdhaniayeBado mambo ya kidunia yanamsumbua
Mi kila siku napata sare kama nipo kwenye ngoma za kizaramo matokeo sijui nitapata lini mechi hizi ngumu sana..Namuona tu huyu SHIMBA YA BUYENZE we acha tu cole nipo
AminLala salama Carpa. Mungu Akulinde malkia mwema!
[emoji102]Ooppss sorry...anyway who knows hiyo siku inaweza kutokea tu mungu akipanga