Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Dude limeamshwaaaa [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Mashabikj wa Mbeya City...
Usilipe baya kwa bayaMe nna miaka 5 na robo
Ujue nakuona.No. Avatar tena. Mubashara like in "kumbe wewe ndiye Carpa? Nimefurahi hatimaye nimeweza kukuona laivu na kushika mikono yako!"
Na kwako pia mkuuWakuu ahsanteni kwa siku ya leo, tumefurahi pamoja. Mungu atujaalie tuamke salama kabisa tukiwa na afya njema tuonane hapa tena kesho. Usiku mwema
Na kwako piaWakuu ahsanteni kwa siku ya leo, tumefurahi pamoja. Mungu atujaalie tuamke salama kabisa tukiwa na afya njema tuonane hapa tena kesho. Usiku mwema
[emoji102]Nikubali niwe wako[emoji124][emoji124][emoji124]
AminaNa wewe mkuu. Mtunze sister wangu please!
Me nalipa ubaya kwa wema sina kinyongo na mtuUsilipe baya kwa baya
Hali tete carbamazepineNa kichwa je?
Mbona hujiamini hivyo lakini??Ujue nakuona.
Cc: carbamazepine
Chagua tuKwa mfano ningemchagua huyo wa .....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi na dawaDude limeamshwaaaa [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Mashabikj wa Mbeya City...![]()
Kwa kweli unatupa faraja sana tunavyoishi humu kama vile tunafahamiana kwenye maisha ya kawaidaYou guys mnanifurahishaga hamjui tu,huu uzi umekua a big comfort kwakwel...mungu awabariki kwa kwel mana hamna siku ninayoingia humu nikatoka bila kucheka na kujifunza mawili matatu
Basi tuanze upya yaliyopita si mbele tugange yajayoMe nalipa ubaya kwa wema sina kinyongo na mtu
AminaNa kwako pia mkuu
Ni kweli. Kuna watu wa kila aina humu. Ni furaha sana!You guys mnanifurahishaga hamjui tu,huu uzi umekua a big comfort kwakwel...mungu awabariki kwa kwel mana hamna siku ninayoingia humu nikatoka bila kucheka na kujifunza mawili matatu