Hahahahaha tuko pamoja Mkuu. Eti jukwaa la povu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimesahau ila nakumbuka 500k ni mie nilipata hadi zawadi ya vocha toka kwa uniq, 800k na 900k mie
Hio ya katikati huwa hatuna harakati nayo. Kumbe na yenyewe inawahiwa duhEh! Hongera unamjua 950K? Ni alwatan hapa kwenye uzi huu?
Fatilia ya million upate furaha,mbio nzuri balaaMi Huwa sifuatilii hiyo ingawa nakumbuka ile ya 500k na vocha ya 20,000 toka Kwa uniq
Hio ya katikati huwa hatuna harakati nayo. Kumbe na yenyewe inawahiwa duh
Nzuri kijana mambo vipiZa mchana wazee
Hahahaha
Poa sana mkuu, vipi mtu mpya anasemaje?Hahahaha
Mkuu mambo vipi