myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!Mother and Son View attachment 1105632
safiMoja ya ofisi zao,hapa ni GeologyView attachment 1105620
Nawapa hongeraUnaambiwa Mwadui wapo vizuri kwa kila kitu,licha ya kuwa na umeme wao na mara nyingi unatumika pale umeme wa Tanesco unapokata,
Pia wana idara ya Maji,haya ni baadhi ya manteki yanasombaza maji safi na salama ndani ya makazi ya mgodi wa MwaduiView attachment 1105624