capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Tayari Bro,Kuna jiji jipya hapa?
Davet ameshazinduliwa tena au bado?
I real wanna know [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Utamuona Cookie Smokey hapa badae.
Tayari Bro,Kuna jiji jipya hapa?
Davet ameshazinduliwa tena au bado?
I real wanna know [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Karbu tena Bro!!
Hope majukumu uliyokuwa nayo umeyatekeleza vyema,na umerudi tena
Karbu sana Bro!
Tulikumiss sana.
Dah !!!
😂😂😂 good to see you againAsante bro...Nafurahi kuwakuta salama...
Maisha haya we acha tu...
Kuna nini jipya hapa? TRM bado ipo au mnasuburia mwezi mtukufu uishe? Ene niu kapozi? Dogo Davet bado yale mambo yake?
Tufurahi kwa pamoja Bro,Mungu mkubwa..Asante bro...Nafurahi kuwakuta salama...
Maisha haya we acha tu...
Kuna nini jipya hapa? TRM bado ipo au mnasuburia mwezi mtukufu uishe? Ene niu kapozi? Dogo Davet bado yale mambo yake?
Thanks bro...[emoji23][emoji23][emoji23] good to see you again
Zile kampeni hazijaendelea na nilikua nazipiga vita sana. Karibu sana bro
Babe tafahali Ukuje 😬 😬 😬Dah !!!
Huyu dogo ni hatari sana aisee. Hata hasubirii kumaliza mfungo?
Nikihakikisha kuwa part III tayari kwa hakika atapata taabu sana...
We na sis mnaendeleaje? Tuongelee mambo ya mahari au mambo bado?
The king of hearts....Tufurahi kwa pamoja Bro,Mungu mkubwa..
TRM tumeupisha mwezi mtukufu Bro,tupo vizuri wote,
Davet ndio habari ya huu uzi hv sasa,,a.k.a mbebishaji[emoji2][emoji2][emoji2]
Sawa bro...