Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

(B). Adhabu kwa Wasafirishaji kwenda nje ya nchi.
Kifungu/Kanuni Na. 8 (b) cha Sheria tajwa hapo juu kinataja Adhabu kwa Mtu au Watu hao kama ifuatavyo;
i. Faini isiyopungua Milioni 5 na isiyozidi Milioni 20,
ii. Kifungo Kisichozidi Miaka 2,
iii. Au vyote Kifungo na Faini tajwa hapo juu.
 
Africa is not just continent its our home.....
FB_IMG_15585957676297965.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
(C). Adhabu kwa Wanaohifadhi na Wasambazaji

Kifungu/Kanuni Na. 8 (c) cha Sheria tajwa hapo juu kinataja Adhabu kwa Mtu au Watu hao kama ifuatavyo;
i. Faini isiyopungua *Milioni 5 na isiyozidi Milioni 50*,
ii. Kifungo Kisichozidi Miaka 2,
iii. Au vyote *Kifungo na Faini* tajwa hapo juu.
 
(D). Adhabu kwa Wauuzaji
Kifungu/Kanuni Na. 8 (d) cha Sheria tajwa hapo juu kinataja Adhabu kwa Mtu au Watu hao kama ifuatavyo;
i. Faini isiyopungua Laki 1 na isiyozidi Laki 5,
ii. Kifungo Kisichozidi Miezi 3,
iii. Au vyote Kifungo na Faini tajwa hapo juu.
 
(E). Adhabu kwa Watumiaji na Wanaomiliki

Kifungu/Kanuni Na. 8 (e) cha Sheria tajwa hapo kinataja Adhabu kwa Mtu au Watu hao kama ifuatavyo;
i. Faini isiyopungua Elfu 30 na isiyozidi Laki 2,
ii. Kifungo Kisichozidi Siku 7,
iii. Au vyote Kifungo na Faini tajwa hapo.
 
Hahah capitalpool anataka kufeli,,hapa Davet ndio anapopigia point tatu,,tayali angesaka na kiclip cha Isidingo akakiweka hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hasa kwenye uhondo wenyewe,coco ake fragaria anatakiwa kuwa mjanja
 
Back
Top Bottom