Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karbu tena Bro!!
Hope majukumu uliyokuwa nayo umeyatekeleza vyema,na umerudi tena

Karbu sana Bro!
Tulikumiss sana.

Asante bro...Nafurahi kuwakuta salama...

Maisha haya we acha tu...

Kuna nini jipya hapa? TRM bado ipo au mnasuburia mwezi mtukufu uishe? Ene niu kapozi? Dogo Davet bado yale mambo yake?
 
Asante bro...Nafurahi kuwakuta salama...

Maisha haya we acha tu...

Kuna nini jipya hapa? TRM bado ipo au mnasuburia mwezi mtukufu uishe? Ene niu kapozi? Dogo Davet bado yale mambo yake?
😂😂😂 good to see you again

Zile kampeni hazijaendelea na nilikua nazipiga vita sana. Karibu sana bro
 
Asante bro...Nafurahi kuwakuta salama...

Maisha haya we acha tu...

Kuna nini jipya hapa? TRM bado ipo au mnasuburia mwezi mtukufu uishe? Ene niu kapozi? Dogo Davet bado yale mambo yake?
Tufurahi kwa pamoja Bro,Mungu mkubwa..

TRM tumeupisha mwezi mtukufu Bro,tupo vizuri wote,

Davet ndio habari ya huu uzi hv sasa,,a.k.a mbebishaji[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kimsingi kuna Makosa Makuu Matano yaliyotajwa na kukatazwa ndani ya Sheria husika. Sheria hiyo Ndogo inajulikana kama The Environmental Management (Prohibition of Plastic Carrier Bags) Regulations, 2019. Sheria hii Ndogo imetungwa kwa Mujibu wa Kifungu Na. 230 (2) (f) cha Sheria inayojihusisha na Usimamizi wa Mazingira (The Environmental Management Act, Cap. 191)
 
Dah !!!

Huyu dogo ni hatari sana aisee. Hata hasubirii kumaliza mfungo?

Nikihakikisha kuwa part III tayari kwa hakika atapata taabu sana...

We na sis mnaendeleaje? Tuongelee mambo ya mahari au mambo bado?
Babe tafahali Ukuje 😬 😬 😬

Tunaendelea vyema .. Atakujuza wapi tumefikia.
 
Tufurahi kwa pamoja Bro,Mungu mkubwa..

TRM tumeupisha mwezi mtukufu Bro,tupo vizuri wote,

Davet ndio habari ya huu uzi hv sasa,,a.k.a mbebishaji[emoji2][emoji2][emoji2]
The king of hearts....

Bae wa uzi wetu...

Hongera kwake. Itabidi ifike mahali tumfanyie kasherehe ka kumpongeza [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…