A: MAKOSA
Kwa mujibu wa Kifungu/Kanuni Na. 8 Cha Sheria ya Kuzuia Matumizi ya Mifuko ya Plastiki ambayo ni The Environmental Management (Prohibition of Plastic Carrier Bags) Regulations, 2019 kuna Makosa Matano ambayo ni;
(A). Kuzalisha na Kuagiza Mifuko ya Plastiki, (Kifungu/Kanuni Na. 8 a );
(B). Kusafirisha nje ya nchi Mifuko ya Plastiki, (Kifungu/Kanuni Na. 8 b );
(C). Kuhifadhi na Kusambaza Mifuko ya Plastiki, *(Kifungu/Kanuni Na. 8 c );
(D). Kuuza Mifuko ya Plastiki, (Kifungu/Kanuni Na. 8 d );
(E). Kumiliki na Kutumia Mifuko ya Plastiki? (Kifungu/Kanuni Na. 8 e ).