Davet buana! π π πHahah capitalpool anataka kufeli,,hapa Davet ndio anapopigia point tatu,,tayali angesaka na kiclip cha Isidingo akakiweka hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah!Thanks bro...
Ila una kesi ya kujibu. Nasikia uzinduzi part III umefanyika ini mai abusensi. Whai?
ππKabsa Bro..
Baada ya mfungo,kutakuwa na kikao cha pongezi[emoji2][emoji2]
ππHahah capitalpool anataka kufeli,,hapa Davet ndio anapopigia point tatu,,tayali angesaka na kiclip cha Isidingo akakiweka hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
ππ uhondo gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hasa kwenye uhondo wenyewe,coco ake fragaria anatakiwa kuwa mjanja
Anataka kutu Enjoy Tu hana lolote!ππ uhondo gani?