Aisee kuacha JF ni mtihani sana bro. Nilikuwa nawamisi sana hapa. Nafurahi kwamba sote tu salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahaha Ntolilo wewe ni shidaSimba mwenda pole anamuogopa sevilla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamanda wa pwani, kwema ndugu yangu?
[emoji137]