capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimecheka kwanza (nimeikuta fb na sijafanya uhakiki wowote wa taarifa)
Qajar pichani binti wa mfalme wa Uajemi alikuwa ndiye msichana mrembo kuliko wote maeneo ya Uajemi miaka ya 1900. Mamia ya wanaume waliomfuata aliwakataa na inasemekana wanaume 13 walijiua baada ya kukataliwa na Qajar.
View attachment 1105339
Asante kiongozi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwema, habari za wiki chache zilizopita kamanda, nafurahi kusema kwamba uzi huu umerejea makali yake
Simba mwenda pole anamuogopa sevilla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamooo makubwa ☺️☺️Asante kiongozi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Simba mwenda pole anamuogopa sevilla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba mwenda pole anamuogopa sevilla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba nanii usiku mwema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba mwenda pole anamuogopa sevilla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah"Nikki mbishi ni ***** kama B Dozen"
Q chief
Jamanii hii nyimbo nakumbuka ilikuwa kero home dah umenikumbusha mbali Bak
[emoji818][emoji818][emoji2]Wewe siyo mtaratibu bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kahwi...hakuna maneno mingi...