[emoji120][emoji120][emoji120]Nawasalimia wote na ambao sikuwataja hapo juu.
Natumai wote hamjambo kabisa.
Jamaa alifunga goli kikatili sanaa adi kipa wa Germany ikabidi ampigie tu makofi ila Final ikaendakua nyepesi sana kama ile ya FA juziNi kweli Euro 2012
Asante sana na kwako pia mpendwaNawatakia Ijumaa njema
Yeye ni mwingi wa Rehema japo kuna baadhi ya watumishi ukiwasikiliza unaweza hata kujikatia tamaa tu. Asante kwa angalizo hili...
HahahEti yuda eskariote alitumwa na mwanamke ili apokee pesa za kumkana yesu
ShukraaniAsante sana na kwako pia mpendwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Wabongo maneno mengi mno jamani !!!
View attachment 1106146
[emoji38][emoji38] jamani
Mzima wa afya, Wewe?Hujambo bibie
Walyeikum msalam khefi hali
ThanksAmen[emoji120][emoji120]
Be blessed.[emoji7]
Safi kabisa mzee wa pwani, Vipi huko kwema?