@The Happiness[emoji120][emoji120][emoji120]
Ndio tatizoWengi wanapenda ngono lakini kuzaa hawataki
Hivi kesi yake iliishia wapi?View attachment 1106256
Oscar Pistorius
Huyu Jamaa kesi yake iliishia wapi?
Sina uhakika ila mara ya mwisho nilisikia Court of appeal ilimuongezea muda kutoka miaka sita mpaka 13 na miezi5 jelaHivi kesi yake iliishia wapi?