Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu Jamaa kesi yake iliishia wapi?
Kesi ya jamaa na hali ya mwamba Michael schumacher sijui muendelezo wake
images (47).jpg
 
Hahah! Hii ni hatari kwa afya yako kuna jamaa aliomba nimfanyie mpango apate access ya kuona taarifa za demu wake na mimi bila hiyana nikamfanyia mambo, basi haikupita muda wakaachana 😁😁...

Labda jamaa wanaweza kufanya kweli kuimarisha ulinzi
Ni kosa kisheria.

Makampuni ya simu za mkooni yanafanya makosa kutoa taarifa za wateja bila idhini ya mteja.

Hata kama anachunguzwa ni muhimu apewe taarifa!

Whats app, Instagram na Telegram hawana huu ujinga hata aje nani!!
 
Nikweli kuingilia privacy ya mtu ni kosa ila watu wanavunja sheria kama Sheria nyingine zinavyovunjwa

Sinimesikia juzi kua WhatsApp nao wameanza kudukuliwa
 
Back
Top Bottom