Hapa pia inahusika bro naona Muumba anazidi kutushushia rehema zakeHapa Pana kimvua furani hivi, vinginevyo mambo mengine yanaendelea vema, Alhamdulillah
Nawatakia Ijumaa njema
Mzima wa afya, Wewe?
Hapa pia inahusika bro naona Muumba anazidi kutushushia rehema zake
🙏Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema.
Karibu