Kesi ya jamaa na hali ya mwamba Michael schumacher sijui muendelezo wakeHuyu Jamaa kesi yake iliishia wapi?
Mimi nitakutakia Afya Njema Leo.My wish for you today is a beautiful life
Sijambo, mambo Cookie?Hujambo?
Yes Bro, habari yako?
Ahsante sana. Uwe na siku njema Mkuu.Nawasalimia wote na ambao sikuwataja hapo juu.
Natumai wote hamjambo kabisa.
Uwe na wakati mwema pia.Nawatakia Ijumaa njema
Bongo 50000/- unapata message zote na calls za mkeo!
Hahah! Hii ni hatari kwa afya yako kuna jamaa aliomba nimfanyie mpango apate access ya kuona taarifa za demu wake na mimi bila hiyana nikamfanyia mambo, basi haikupita muda wakaachana ππ...Bongo 50000/- unapata message zote za calls za mkeo!
Ni kosa kisheria.Hahah! Hii ni hatari kwa afya yako kuna jamaa aliomba nimfanyie mpango apate access ya kuona taarifa za demu wake na mimi bila hiyana nikamfanyia mambo, basi haikupita muda wakaachana ππ...
Labda jamaa wanaweza kufanya kweli kuimarisha ulinzi
Sijambo piaSijambo, mambo Cookie?
Mimi mzima sweetheart. Vipi habari za huko ulipo?Mimi nitakutakia Afya Njema Leo.
Habari, vipi hali yako Mpenzi?
Nikweli kuingilia privacy ya mtu ni kosa ila watu wanavunja sheria kama Sheria nyingine zinavyovunjwaNi kosa kisheria.
Makampuni ya simu za mkooni yanafanya makosa kutoa taarifa za wateja bila idhini ya mteja.
Hata kama anachunguzwa ni muhimu apewe taarifa!
Whats app, Instagram na Telegram hawana huu ujinga hata aje nani!!