[emoji23][emoji23][emoji23]sasa ntapataje ubuyu nikizembea zembea bila kutia nenoNdiyo nimeanza harakati hivyo nipenyeze usis kwanza. Mbona unataka kuniharibia tena?
Ila Davet bana dah !!![emoji16][emoji16][emoji16]
Nimebadili jina Bro. Nimeamua kwenda ki South Africa zaidi ππSis, umebadili jina?
Umeamua kwenda Ki-Iraqw zaidi au nini sasa?
π πSYB aka Ngosha the Don (in Esta/Prisca's voice) is indeed back [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeamka salama. Uchovu upo lakini maisha ni lazima yaendelee. Tumshukuru Mungu kwa yote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Jamani πkoromije mwenzio soon utaanza mdai davet ng'ombe[emoji125]
Asante sana SYB, tunza kumbukumbu zangu vizuri πNakusalimia Cookie.
Mimi SYB mtunza kumbukumbu wa uzi huu.
Nilikuwa likizo kidogo na sasa nimerejea kazini.
Karibu sana !!!