mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Heche amesema professor wa hovyo kupata kutokeadana dana zinaendelea kama kawaida, yuko wapiii la professeri le kabudi bin korosho bin makinikiyya bin balimi serengeti bin vipigo kwa mashangazi zenu bin kulala na nyinyi mbele.
watatoa tu kishika uchumba chetu(goodwill) wala msijali my citizeni ship by birthi endi registration
Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetoa ombi la kununua hisa zote za Acacia ili kuwa na sauti moja kwenye mazungumzo yanayoendelea pamoja na Serikali kutokana na mzozo uliodumu kwa miaka 2
-
Taarifa iliyotolewa na Makamu wa Rais wa Uhusiano wa Umma wa Barrick, Deni Nicoski ilisema kampuni hiyo imekutana na Menejimenti ya Acacia na kuwasilisha pendekezo hilo la kununua asilimia 35 ya hisa ambazo haizimiliki
-
Ili kufanikisha ununuzi wa Acacia inayokadiriwa kuwa na thamani ya Dola Milioni 787, Barrick imependekeza kubadilishana hisa zake na wamiliki wachache wanaobaki Acacia ambao wanamiliki hisa zenye thamani ya Dola Milion 285 za Marekani
Amun RaWakuu wote humu mmeshindaje? Mie namshukuru Mwenyezi Mungu niko poa kabisa [emoji1431]
Anakwenda kufungua mtaa umepewa jina la Mwl Nyerere Namibiakama vita utaanzisha wewe, tunasubiria muheshimiwa raisi arudi na mikataba 50 ya kibiashara kutoka south afrika
Amun RaHapa duniani kuna watu wawili tu: Mungu na wewe! Wengine wote, vingine vyote, wako au viko kisogoni mwako. Nje ya macho yako kuna Nuru. Nuru hiyo ndiye Mungu. Wengine wote, vingine vyote, ni akisi ya taswira ambazo ziko ndani yako; ambazo unatakiwa kuziona nje ili uone umekosea sehemu gani, na uweze kurekebisha dunia yako ya ndani.
Sio kila mgojwa hawezi kutembea ama kukimbia ujue😀😀😀Hakuna magonjwa. Magonjwa yote yamo akilini mwetu. Ukitaka kulithibitisha hilo nenda hospitali yoyote ya Dar kisha toa tangazo la sauti kwamba Al-Shabaab wako nje watalipua jengo zima kwa mabomu. Asilimia 95 ya hao unaosema ni wagonjwa watakimbia hadi Bagamoyo.
Mkuu upo vizuri kwenye maandiko kama mmMiriamu dada yake Musa na Haruni alipofariki huko Kadeshi katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa arobaini wana wa Israeli walikosa maji. Miriamu ndiye aliyekuwa baraka ya maji ya wana wa Israeli jangwani, kwani Mungu aliwapa neema ya kisima cha maji popote pale walipopita kwa sababu ya Miriamu. Miriamu alipofariki, baraka hiyo ilifikia kitembo. Hivyo wana wa Israeli wakajikuta hawana maji.
Bro unataniaMbona mimi sijawahi kushawishiwa?
😛 😛 😛 😛 wengine wataamkaSio kila mgojwa hawezi kutembea ama kukimbia ujue😀😀😀
Na hakika watao shindwa kukimbia ni wale walio ktk chumba cha uangalizi maalum.
Wana wa Israeli walipoendelea kulalamika kuhusu maji na mambo mengine, Mungu alimtokea Musa na Haruni katika hema. Alimwambia Musa awakusanye watu kisha aseme na mwamba mbele yao, kwamba maji yangetoka na watu na wanyama wao wote wangekunywa.
Musa na Haruni walipofika kwenye mwamba husika, badala ya kuongea na mwamba kama walivyoagizwa, Musa akaupiga mwamba huo kwa fimbo mara mbili, maji mengi yakatiririka kwa kiasi cha ajabu! Fimbo ile haikuwa kwa ajili ya kupigia mwamba, ilikuwa kwa ajili ya kukusanyia watu.
hapana mkuu ni mwendo wa plagiarism.Mkuu upo vizuri kwenye maandiko kama mm
Yap alifia jangwaniLakini Mungu akawakasirikia Musa na Haruni. Kwa nini? Kwa sababu waliasi kinyume cha neno lake pale kwenye maji ya Meriba! Mungu alimwambia Musa aongee na mwamba lakini yeye akaupiga mwamba huo, tena akaupiga fimbo mara mbili. Mungu akamwambia Musa na Haruni akasema, kwa sababu hawakumwamini hawangeweza kufika katika Nchi ya Ahadi.
Dooh hili zigo sio poaHakuna hela ya lodge...no problem...
View attachment 1106509
Ningefurahi jiwe apitie hapaKile alichokifanya Musa na Haruni hakikuwa na makosa machoni pa wanadamu; hakikuwa na makosa machoni pa Mungu pia! Lakini mtu mwenye haki yukoje? Mwenye haki ni yule ambaye siku zote yuko tayari kuumia kwa ajili ya watu wengine. Hata kama tendo analotaka kufanya kuwasaidia wengine litamkasirisha Mungu yuko tayari amkasirishe ili Mungu huyohuyo awabariki wengine.
Sisi wote ndivyo tunavyotakiwa kuwa. Tunatakiwa kuwa na upendo usiokuwa na masharti yoyote; na tunatakiwa kuwa tayari kufa kwa ajili ya maisha ya wenzetu.
Hii picha najua mahali umeitolea😀😀Hakuna hela ya lodge...no problem...
View attachment 1106509
Tuletee hivyo hivyo nahisi zimetufaa sana hapa!hapana mkuu ni mwendo wa plagiarism.
He said: “All prime ministers, in the end, take responsibility for what happens on their watch, but I think that it’s undeniable that suddenly and unexpectedly becoming prime minister after the seismic shock of the Brexit referendum meant that she was dealt an extremely difficult hand to play. And the truth is that having an election a year later, which cut the Conservative party’s majority, then [made it] impossible.”