Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hii picha najua mahali umeitolea😀😀
Bro habari yako lakini?
waafrika hatuibi maandiko bali tunachukua 😛 😛 😛Tuletee hivyo hivyo nahisi zimetufaa sana hapa!
Hapa kwema Bro, nashukuru tuko na pumzi na tunaifurahia !![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huku kwema bro. Kwako huko mnaendeleaje?
Kabisaa maana hata hivyo waandishi wa mabandiko haya wengi wao bado hawatambuliki kisheria.waafrika hatuibi maandiko bali tunachukua 😛 😛 😛
Well said broUkishakuwa mtawala wa kitaifa umeua! Ama kwa kujua au kutokujua! Ama kwa kupenda au kutokupenda!
Taifa ni malaika! Taifa ni Shetani! Laana ya mwenye haki ina haki.
100%Uongo wa daktari ni ukweli wa mgonjwa. Wakati mwingine maneno mazuri na huduma nzuri humponyesha mgonjwa.
ni maandishi ya mtanzania enock maregesiKabisaa maana hata hivyo waandishi wa mabandiko haya wengi wao bado hawatambuliki kisheria.
Mkuu kwemaMbona mimi sijawahi kushawishiwa?
Very Nice!! Ni muandishi mzuri sana inavyoonekana.ni maandishi ya mtanzania enock maregesi
View attachment 1106521