Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Hahaha nimeona nianze kabisa na ubatizoKulikoni? umepata ubatizo kabla ya mahari?
Hahaha nimeona nianze kabisa na ubatizoKulikoni? umepata ubatizo kabla ya mahari?
Khamsa tena na tena .. hatariiiiNdio 4-5
😂😂 Alaaa kumbeee!😂😂😂😂 unapimwa imani bro
😁 Aisee unampenda sana Coco wetu wewe! I hope analijua hiloHahaha nimeona nianze kabisa na ubatizo
Anavaa nose pin?
😁Tusioangalia Isidingo imebidi tukagugo!Kama mie ni wewe fasta najiita ntando[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This is Nice
A very good photographer! good timing
Wacha tumalize Mfungo kwanza,
Umefunga?Wacha tumalize Mfungo kwanza,
Welkamu baki..Aisee kuacha JF ni mtihani sana bro. Nilikuwa nawamisi sana hapa. Nafurahi kwamba sote tu salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Unataka nikuonyeshe phobia?Hamna Phobia hapo mbona... bata tu!
Asante...Welkamu baki..
Tuliimisi sana hii ID..
Hivi tuliokumisi tunakuhagia wapi?
😆😆😆 Inachekesha!
Haya tunakuja!🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Asante...
Njooni PM mnihagi [emoji16][emoji16][emoji16]