Kwenye Buddhism kuna shetani pia?Usipoangalia kwa undani sana, Shetani anatutawala kwa sababu hatuna uwezo wa kumwona. Aidha, bila hata sisi kujua, anaweza kuwasiliana nasi kimawazo na kitabia kupitia hewa hiihii inayotusaidia katika kuishi.
Kiswahili bwana eti nyuzinyuzi... ndio fibers?😁Kula vyakula vya nyuzinyuzi
Unatakiwa kufahamu kuwa vyakula vyenye nyuzinyuzi ni vizuri pia katika kusafisha mwili na kuondoa sumu au takataka mbalimbali.
Vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi ni pamoja na parachichi, ndizi, peazi, karoti, pilipili hoho, mchele wa brown (wanaoutumia watu wa kisukari), maharage meusi, njegere, tende, viazi vitamu, tofaa (apple), machungwa, ugali wa dona pia mkate wa unga wa ngano ambao haujakobolewa. Ulaji wa vyakula hivi utakuwezesha kuondoa kiasi kikubwa cha sumu mwilini.
Na kwako pia MoudyRamadhani njemaView attachment 1106698
Asante..Mbona hamna futari hapo?Ramadhani Kareem.
Karibuni Zanzibar tumalizie RamadhaniView attachment 1106697
🤣🤣🤣🤣 DahSimba kakalia DUDE [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka kumjua mwanamume apate pesa!Ukitaka kumjua mwanamke jua historia yake.
😁😁😁 Huyuhuyu wa jf?Ndege John [emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1105860
Mwanamke ni yupi hapo.. turudi darasa la biologyUchokozi wa wanawake.....wakiliwa ije kuwa shida [emoji16][emoji16]View attachment 1105858
Seconded
Mxieeew kamuweka mtoto kwy p*** zake...Crazy Dad [emoji16][emoji16]View attachment 1105855
Ndio mimi coco ake my fyucha hubbyMmh? Consuela Wifiii ndio wewe au?
Hii picha ni ya advertisement actually..Dear GambeView attachment 1105847
Kulikoni? umepata ubatizo kabla ya mahari?Ndio mimi coco ake my fyucha hubby
EconomyWhich class is this one?View attachment 1105854
Hamna Phobia hapo mbona... bata tu!Aerophobia....View attachment 1105853
What is? Kuvaa kikuku?Still a dream to many people.View attachment 1105852