Hahaha nimeona nianze kabisa na ubatizoKulikoni? umepata ubatizo kabla ya mahari?
Khamsa tena na tena .. hatariiiiNdio 4-5
ππ Alaaa kumbeee!ππππ unapimwa imani bro
π Aisee unampenda sana Coco wetu wewe! I hope analijua hiloHahaha nimeona nianze kabisa na ubatizo
Anavaa nose pin?
πTusioangalia Isidingo imebidi tukagugo!Kama mie ni wewe fasta najiita ntando[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This is Nice
A very good photographer! good timing
Wacha tumalize Mfungo kwanza,
Umefunga?Wacha tumalize Mfungo kwanza,
Welkamu baki..Aisee kuacha JF ni mtihani sana bro. Nilikuwa nawamisi sana hapa. Nafurahi kwamba sote tu salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Unataka nikuonyeshe phobia?Hamna Phobia hapo mbona... bata tu!
Asante...Welkamu baki..
Tuliimisi sana hii ID..
Hivi tuliokumisi tunakuhagia wapi?
πππ Inachekesha!
Haya tunakuja!πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈAsante...
Njooni PM mnihagi [emoji16][emoji16][emoji16]