Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20190523_112446_136.jpeg
 
Kuna watu huwa nawashangaa, yani mwezi usio wa ramadhani, hajafunga, ametoka kula mihogo yake iliyochanganywa na magimbi anakujasema "nimetoka kula futari"[emoji41][emoji41][emoji41]
Hata maji yanafaa kuwa futari kwa maana ftar ni chochote unachofungulia kinywa baada ya jua kuzama yaani kuingia swala ya maghrib.
 
Back
Top Bottom