capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Yes Only kama utafikisha post Million 1end of this month.Coco unatuzawadia hizo i phone?
Yes Only kama utafikisha post Million 1end of this month.Coco unatuzawadia hizo i phone?
Una uhakika kuwa Prisca siyo Mkoromije?
Watakuja kuvunja masinki sasa!
Dah itabidi wabebishaji wote wahamie humu!Yes Only kama utafikisha post Million 1end of this month.
Sasa ulitegemea akubali? Na ubishororo wote ule tena mtoto wa kishua kweli ulimtegemea akubali kuwa ni Mkoromije?Alishakana hapa, labda kama kama alikana kuwakwepa TRM[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ha hahSasa ulitegemea akubali? Na ubishororo wote ule tena mtoto wa kishua kweli ulimtegemea akubali kuwa ni Mkoromije?
Shishi bebe ni Mnyamwezi....Ha hah
Anasema ndugu yake Shilole 😀 😀