Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kesho inshaallah jukumu langu litakuwa ni kugonga likes without kuandika comment.

siku mbili hii nimevunja rekodi ya kucomment humu ndani mara kwa mara.

huu uzi umeshakuwa tiba yangu ya kuwakimbia wavimba macho (wakorea na udaku wao)

Anyeong = kwa herini na usiku mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…