myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
10:12
Priyanka Chopra bibie yuko vizuri na sauti yake ya kibabe
shukrani kwa jumbe nzuri pamoja na ukumbusho [emoji8]Naamini yapo mengi zaidi na zaidi yakushukuriwa. Ni vyema tukajifunza kushukuru ili tufungue milango ya kupata mengine mazuri zaidi. Kuacha kulalamika na kuona angalau yale mazuri mchache ni jambo la msingi.
Halafu eti utasikia "Baby tuma na ya kutolea". Shwaiiiiniiii [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1106825
Mnyamwezi kama Cookie?
So wakolomije Prisca na Cookie! [emoji1]