Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Jopo la watu hao lazima walikua na uelewa basi tu Dunia imewakengeushaIngekua rayvan hapo tungesema hakua na uelewa ila harmo si mtoto wa kiislam yule,mond ,babutale wote waislam ina maana hawaielewi dini yao