The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Hapana dave, siku nyingi sana sijafatilia cartoon itabidi nianzeMr been ya animation huwa unaangalia?
Hapana dave, siku nyingi sana sijafatilia cartoon itabidi nianzeMr been ya animation huwa unaangalia?
Aisee yaani nimemuonea huruma Sana ana ujasiri mimi kama hivyo hata kioo sijiangalii sembuse kupiga picha 🙈🙈
Cartoons nyingi za siku hizi zakina Dora na nyinginezo sio nzuri kama zile za zamani ila zipo baadhi ni nzuri kama Mr been, Tom and Jerry na ZiggHapana dave, siku nyingi sana sijafatilia cartoon itabidi nianze
Aisee yaani nimemuonea huruma Sana ana ujasiri mimi kama hivyo hata kioo sijiangalii sembuse kupiga picha 🙈🙈
Alijifungua kawaida au operashenAisee inatisha sana. Sijui aliishi vipi katika kipindi cha miezi tisa. Watoto 17 alijifungua kwa mpigo! jamaa naona alihifadhi debe la nonino hahahahahaha na rekodi yake ya watoto 17 haijawahi kuvunjwa.
Alijifungua kawaida au operashen
😂😂😂😂Mungu makubwa anaweza kufyatua wote kwa mpigo. Mungu anijalie na mimi nipate kama hao 😜Sidhani kama ilikuwa kawaida aisee. Kupush mtoto mmoja ni zoezi la uhakika sasa hebu fikiria urudie hilo zoezi mara 17!!!
Anh, teknolojia imekuja na mengiCartoons nyingi za siku hizi zakina Dora na nyinginezo sio nzuri kama zile za zamani ila zipo baadhi ni nzuri kama Mr been, Tom and Jerry na Zigg
Itakua...Anh, teknolojia imekuja na mengi