Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee inatisha sana. Sijui aliishi vipi katika kipindi cha miezi tisa. Watoto 17 alijifungua kwa mpigo! jamaa naona alihifadhi debe la nonino hahahahahaha na rekodi yake ya watoto 17 haijawahi kuvunjwa.

Aisee yaani nimemuonea huruma Sana ana ujasiri mimi kama hivyo hata kioo sijiangalii sembuse kupiga picha πŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…