πππHahahaha, shemeji yako anakujua vema[emoji23][emoji23]
Mufti awataka wanaofuturisha kufuata maadili ya Kiislamu, waache kupiga muziki
ππππMungu makubwa anaweza kufyatua wote kwa mpigo. Mungu anijalie na mimi nipate kama hao π
Kwanini waislamu wasishiriki kama maadili hayafuatwi? [emoji15][emoji15][emoji15]
Dar es Salaam. Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir amewataka wadau wanaofuturisha katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye mahoteli kufuata na kulinda maadili ya Uislamu kwenye shughuli hiyo.
Mufti Zubeir amesema, βsiyo mnafuturisha watu huku mnapiga muziki. Wale wanaohudumia hasa kina mama wavae mavazi yenye utamaduni wa Kiislam," amesema Zubeir.
Napenda sana watoto hata wakiwa 20 sio mbayaWeyeeeeee hujipendi kumbe eh!? Watoto 17 kwa mpigo!? Kha! π³