Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

maxresdefault (12).jpg
 
Hongera jirani naona mmesharudi kwenye ubora wenu msimu ujao tutawakoma 😁😁
Hii game imenipa raha sana!

This is United! Napenda ubora wa wachezaji wetu enzi hizo .. na bado leo wakicheza napata raha sana.

Becks bado yupo fit sana! Ole pia kafunga goal tamu sana pamoja na SAHA.

Naipenda sana UNITED Aisee
 
Back
Top Bottom