Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20190526_225330.jpg
 
Hii game imenipa raha sana!

This is United! Napenda ubora wa wachezaji wetu enzi hizo .. na bado leo wakicheza napata raha sana.

Becks bado yupo fit sana! Ole pia kafunga goal tamu sana pamoja na SAHA.

Naipenda sana UNITED Aisee
Hiyo ndio United bro sio hawa wahuni wanaendekeza kunyoa viduku na kudab
 
Back
Top Bottom