Hahah nasikia walipiga performance la hatari
Sijajua,sijaalikwa wala sijahudhuria angalau kujionea kilichofanyika.
Ilikuaje hiyo mkuu?
Mwanza hutakaa uhame [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapenda kunikwamisha huko Mwanza me nilishapasahau
Hahah! Niuzie kiwanja kabisaMwanza hutakaa uhame [emoji16][emoji16][emoji16]
Ingekua rayvan hapo tungesema hakua na uelewa ila harmo si mtoto wa kiislam yule,mond ,babutale wote waislam ina maana hawaielewi dini yao