Ushapeleka majina Mkuu? [emoji41][emoji41]
Hahaha anataka aombewe!
Lakini anaogopa!
sasa dua itapokelewa kweli?
Huyu ni kiboko anakula sahani moja na nduli, hataki mchezo hata chembe.
Sasa mimi hofu ya nini BAK?
Nimeyapata subiri blessings za kufa mtu tuu!Jina nilishakutumia mkuu
Hiyo ndio United bro sio hawa wahuni wanaendekeza kunyoa viduku na kudabHii game imenipa raha sana!
This is United! Napenda ubora wa wachezaji wetu enzi hizo .. na bado leo wakicheza napata raha sana.
Becks bado yupo fit sana! Ole pia kafunga goal tamu sana pamoja na SAHA.
Naipenda sana UNITED Aisee
Hamna hofu yoyote ndio nilichokuwa nakazania! Usiogope M.Una hofu kweli kweli[emoji41][emoji41][emoji41]
TupoWapi Wahenga?View attachment 1108845
Translation please
PumaWapi British Petroleum View attachment 1108873
Nimeyapata subiri blessings za kufa mtu tuu!
NdiwooTunaikumbukaView attachment 1108842