Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nzuri.Chui umkutapo kwako, umfanye rafiki yako.
[emoji15]Cha bei yafaa wawili; wa tatu ni mlozi.
Hahahaha.Msitu ni mpya na komba ni wapya.
[emoji818]Akupaye kisogo si mwenzio.
[emoji818] [emoji818]Moyo wa mwenzio ni msitu wa giza.
[emoji818] [emoji818]Milima haikutani, bali wanadamu hukutana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfupa wa mbuzi wa mwenzio ni mtamu.
[emoji818]Marafiki makubwa lazima waachane.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Penye mbaya wako na mwema wako hakosi.
[emoji818] [emoji818] [emoji818]Nyumba, ijapo ndogo, mpenzi hakosi nafasi.
[emoji102]
Mkuu maisha yangu yamepoteza Furaha 100% kwetu kungekuwa na bastola nishatangulia mbele za haki [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji22] [emoji22]
Kiswazi katika ubora
Nzuri.
Japo wengi humuona kama mnafiki
Hongera kwakoHa ha haaaa
Methali zina mafunzooooo
Mie naendelea ku C&P