Na ndio chanzo cha neno "kukata tiketi" maana kulikuwa na tiketi ngumu (rangi ya brauni au zambarau mbichi) hasa zilitumika kwenye treni/mabasi ya Relwe...
Hutekelezagi ahadi zako bro japo unapenda sana kuahidi ahidi. TECNO yangu mpaka imechanika kioo nimewekelea superglue na rubber band kibao wakati uliniahidi kabisa nikibashiri sawa sawa (na ikatokea hivyo) kuwa nitapata iPhone.Uki post posts 1m before June 1 nakupa iPhone X. Ni ahadi.
Wacha tuone vile hakuna Cocophibia!
Afadhali umeshtuka...Tecno yangu inatosha boss coco
#iphoneXbyeeee