Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee!!

Kati ya watu ambao hawakutakiwa kuwa na shaka ni wewe Bro.

Niliwahi kukutunuku Kaspesky Internet Security freely!! Nadhani validity yake ilikua 2Yrs!?

Hizi shutuma za kutotimiza ahadi zinatoka wapi?

Imani yako haba itakuponza 🙁

Usichanganye madesa bro. Mimi sikubeti Kaspersky...Nilibet iPhone....Na Kaspersky iligoma ku-install ikiniambia wrong key.
 
Watu 30 wamefariki na wengine zaidi ya 200 hawajulikani walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika ziwa Mai-Ndombe nchini DRC. Boti hiyo ilibeba abiria zaidi ya 350 na watu 182 pekee ndio wameokolewa hadi sasa, na zoezi la uokozi bado linaendelea. Rais wa nchi hiyo Felix Tshisekedi ametoa amri kwa abiria wote wanatumia usafiri wa majini kuvaa jaketi za uokozi mara tu baada ya kuingia katika vyombo hivyo vya usarifi. Mwezi uliopita watu 167 walifariki katika ajali mbili tofauti za majini nchini DRC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…