Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbukumbu hii imeshahifadhiwa kwenye mafaili. Prisca na Davet mashahidi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni kweli ilihakikishwa kuwa alifariki?

Pancreatic cancer ni hovyo kabisa...inajificha weee ikija kugundulika tayari stage 4...

Apumzike kwa amani. Maisha yetu haya yaani basi tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji119] [emoji119]

Kuna siku Prisca aliweka picha yake halisi humu alafu akaifuta hakuna alieona zaidi yangu maana ilikua ni usiku sana. Sasa ungekuepo naimani ungekua na kumbu kumbu yake
Sasa nitakuwaje na kumbukumbu ya kitu ambacho sikuona?

Najua malkia wetu the one and the only one Amun Ra mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai ndiyo alikosea akaweka picha yake halisi. Hiyo niliikosa kosa kwa sekunde tu na bahati mbaya hakuna aliyeiwahi isipokuwa mlengwa.



Ningeinyaka ya anonimazi foreva Prisca dah [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Daah hii imesikitisha sana aisee 😢
 
Prisca hupo hot bro tegemea ng'ombe wengi sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…