Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Timu ya Stoke City imemtaarifu mshambuliaji wao raia wa Burundi Saido Berahino mwenye thamani ya pauni milioni 12 kuwa wamesitisha mkataba wake baada ya kukutwa na kosa la kuendesha gari huku akiwa amekunywa pombe. (Mail
 
Barcelona to appoint Massimiliano Allegri as their new manager.
 
Mshambuliaji wa Spurs Harry Kane anatarajiwa kusafiri na wachezaji wenzake kulekea jijini Madrid pamoja na kikosi kizima cha klabu yake. Kane anajaribu kuthibitisha kuwa yupo 'fiti' kuchuana na Livepool kwenye fainali ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Liverpool. (Mail)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…