There is no way nichanganye madesa or may be hujanielewa tu.
Ni sawa kutoa mahari, ni sawa pia kujibu kila swali la msingi kukuhusu. Mf. "Unaoa lini" ni swali la msingi sana!
Ni muhimu kutoa majibu kwa maswali ya msingi!
Kivipi?
Nice smile [emoji16][emoji16][emoji16][emoji880]View attachment 1110287
Contexts tofauti...
Unaoa lini ni swali la kisaka ubuyu tu lisilo na kichwa wala miguu. Kuoa au kutooa kwangu kunamhusu nini muuliza swali? Kuoa ni lazima? Hili ni swali lisilo na kichwa wala miguu...
Utatoa mahari lini? Kimsingi hili swali mtu hupaswi hata kuulizwa kwa sababu otomatikale ni wajibu wako...
Umenielewa?
Ili kuluka mtalu kuna nguvu za ziada kinyume na pale pengine